Abstract:
Batobato kali ya mhogo (CMD) husababiswa na
virusi, kama wa lewa UKIMWI (AIDS). Virusi
huishi katika chembe hai ya viumbe. Huathiri
majani na mfumo wa maisha wa mimea na
kusababisha mazao kupungua. Kipeperushi hiki
kinaelezea jinsi ya kutambua mimea iliyoathirika
kwa batobato kali, jinsi virusi wauingiavyo
mmea wa mhogo na jinsi ya kudhibiti ugonjwa
huo.